ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mkuu,Jamani hela imepotea hii week kila siku afadhali ya jana.kila sehemu huku kwetu watu wanasema hawana hela hata Hapa kwenye biashara yangu wateja wamepungua.. mjini nako pagumu TRA Wamebana.
Sent using Jamii Forums mobile app