Hali ni tete Huko umakoloni

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Hali ni Tete Huko Umakoloni.

Habari za Chinichini Ni Kwamba Mwamba Inonga anataka Mzigo wake Wa signing fee iliyobaki.

Yuko Tayari asicheze Ila alipwe fedha yake na inasemekana wachezaji waliowengi Wamekopwa Sana Signing Fee.

Makolo walijifanya Siri Sasa Pambaneni na Hali zetu Sasa.
 
Toka lini mzungu akaajiriwa na Muhindi

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Akikujibu naomba unitagi please
Acha umbumbumbu awa wachezaji fedha zao za signing fee wengi uwa wanalipwa Kwa installment Sasa mnakubaliana mtalipa Kwa mikupuo mingapi na Kwa muda wa miezi mingapi.
Hoja ya kusema kasajiliwa msimu uliopita Haina mashiko, kinachotakiwa kama anadai alipwe au aendelee kubembelezwa taratibu.
 
Hii wewe umeipata wapi?
 
Sawa mke wake inonga tumekusikia ,je una taarifa nyingine yoyote kutoka kwa mumeo?
 
Simba ni genge la wahuni tu, Mwamedi kamtowa demu wake Barbara kwenye magodown yake kamleta Simba na kumuhonga UCEO, utasema hapo kuna timu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…