Mkuu MAGU hali ni tete nilikuwa natafuta ni mbinu gani ya kulainisha hivi vyuma vilivo kaza mkuu umesaidia sana kutujuza tutumie GILISI... sasa Mkuu MAGU vyuma vyangu vimekaza mnoooo naomba ile dawa ya kilainishi nivilegeze..π΅π
cc: Tetty
cc: jingalao
cc: Ruttashobolwa
cc: stroke
shida iko palepale hiyo gilisi unaipatajepataje... GILISI inapatikanaje... kama anagawa bule asemeMagu amekwambia weka grisi ili vilainike......
Lakini jinsi unavyochelewa kuweka grisi ili uvilainishe, ndivyo utakavyoweza kusababisha "engine" INOKI!