Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
We itakuwa hufanyi mazoezi na hujui nini maana ya Push up 100.Upo sawa, mazoezi ni muhimu ila usihitimishe, Hayo mazingira unaweza jifia tu na pushup zako 100 kila asubuhi, mchana na jioni.
Life style mkuu. Bia, nyama choma, halafu mafuriko kama hayo mpaka yaje yakukute ukiwa juu ya lori ili utembee na kamba ni mara ngapi inatokea? Ila bia na nyama zipo kila siku.Ni kweli kabisa. Sijui nani anawambia watu kwamba ukiwa mnene huwezi kufanya mazoezi.
Watu wapo wapo tu hata kukimbia kilomita moja tu hawezi.
Mazoezi nafanya ila si hizo pushup mia. Mafuriko yakija nikawa juu ya lori kama wenzangu hapo lolote linaweza kutokea.We itakuwa hufanyi mazoezi na hujui nini maana ya Push up 100.
Ni kwambie sasa mtu anayeweza kupiga Pushup 100 hawezi kushindwa kupita kwa ile kamba.
Uzuri wa maji ukishapata pakujishikiza tu maji yanakusapoti na kupunguza uzito.
Ndio maana unaona huyo dogo aliyepita kwenye ile kamba wala haijanesa nesa sana.
You just need an ancor
Mkuu unaonekana ni mtu wa huruma...utawapoteza wengiUpo sawa, mazoezi ni muhimu ila usihitimishe, Hayo mazingira unaweza jifia tu na pushup zako 100 kila asubuhi, mchana na jioni.
Basi jaribu Push up hata hamsini tu mara tatu kwa wiki utakuja kuniambiaMazoezi nafanya ila si hizo pushup mia. Mafuriko yakija nikawa juu ya lori kama wenzangu hapo lolote linaweza kutokea.
Sawa sawa mkuu. Nisiendekeze uzee.Basi jaribu Push up hata hamsini tu mara tatu kwa wiki utakuja kuniambia
Ndio shida inapoanzia sema wenzetu hujenga maeneo mazuri watoto wanafundishwa climbing tena zile ngumu ,kutembea na kamba ,kutoroka n.k hii inasaidia sana kwenye mazingira magumuSasa huku wakicheza wanatandikwa bakora
Nimefanya sana nilivyokuwa scoutSema hizi ni training za kawaida ambazo tumefanya sana udogoni unafunga miguu kwenye kamba Kisha unaenda mgongo ukiwa chini tumefanya kwenye magoli sana.
Tuwaruhusu watoto kucheza michezo hata ya hatari huwa inasaidia kwenye hali ngumu
Kwa mtu asiyefanya mazoezi anaweza kuanza na push up 50?Basi jaribu Push up hata hamsini tu mara tatu kwa wiki utakuja kuniambia