Hali ninayokutana nayo katika Biashara inatisha nimefunga biashara 3 nimebakiza moja inayopumulia mipira, Msaada wa kiroho unahitajika

Andiko lako limejikita kuamini uchawi na kutafuta waganga badala ya kuwaza na kupata ushauri wa kitaalam na kitaaluma wa jinsi ya kurudi barabarani tena kama mwanzo

Ushauri wangu kama uliweza kupanda hadi kufika juu naamini ukianguka hutashindwa kupanda tena, anza ulipo anzia huku ukiwa mbunifu wa vitu vipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…