Amani hakuna tena kwa wanasua wa khonda maghorofan,ni baada ya ugomvi uliotokea jana usku kat ya wanafunz wa2 na bodaboda mmoja!imebidi polis waje kulnda usalama kufuatia vtsho vya bodaboda wengi vilivoanza toka jana usiku,leo asubuh na masaa machache yalyopita.
Daaaa hawa jamaaa na degree zao za maua mara mapishi kazi kweli ukiwakuta daaaa wamechoka kama vibabu vya kijijini vinavyoshindia ulanzi na komoni.hawa jamaa wa sua very rigid and conservative wacha wachapwe tu.mtoa maada ametupa trend of fighting sio source nhisi mazalau yao na umama lishe wao ndo chanzo tena ukiwakuta pale kivulin bar daaaaaaaaa utafikiri wanasubiri usafiri wa loli kumbe wanakunywa bia
Na nyie mmezidi wanafunzi wa sua mna mambo ya kipumbafu sana na degree zenu za lishe hizo

Mkuu upo karibu na mimi nini maana ndo mitaa yangu hiyo kihonda maghorofani any way hatujui chanzo hasa nini ngoja nicheki
Kumuombea m2 mabaya unapata faida gan bro?!kisa anasoma digrii ya mapsh,rigid na conservative?!ugomv ulmetokana na hao wawil kwa sabab zao ambazo hazihusian na uanafunz wao!kwan bro ulikuchukulia digrii yako KALI ulisoma na malaika wasio na dosari?.Naamin unaamn katka Mungu,ni kwel unamuombea mwenzio adhuriwe?!
Na nyie mmezidi wanafunzi wa sua mna mambo ya kipumbafu sana na degree zenu za lishe hizo
DEGREE ZA LISHE, MAJANi NA VITOWEO
Aaaaa, mzee vipi tena mbona unanisagia sana? Mbona wakati Mzee Magufuli alikuwa anaitwa "waziri wa vitoweo" hukuwakoromea hao wabaya wake?Unajiskiaje kuona akili yako imeishia hapo???
Inasikitisha sana kama na wewe ni miongoni mwa kundi la wasomi maana reasoning yako ipo chini sana unashindwa kujua kuwa ili maisha yasonge mbele kila taaluma inahitajika kwenye, inawezekana umekosa wataalam walishe ndio maana hata akili zako zimeshindwa kukua kwa kiwango kinachotakiwa. Kwa bahati mbaya Tanzania mpaka sasa ina Agricultural university moja tu, kwenye watu zaidi 40Milion nilidhani kwako iwe challengeDaaaa hawa jamaaa na degree zao za maua mara mapishi kazi kweli ukiwakuta daaaa wamechoka kama vibabu vya kijijini vinavyoshindia ulanzi na komoni.hawa jamaa wa sua very rigid and conservative wacha wachapwe tu.mtoa maada ametupa trend of fighting sio source nhisi mazalau yao na umama lishe wao ndo chanzo tena ukiwakuta pale kivulin bar daaaaaaaaa utafikiri wanasubiri usafiri wa loli kumbe wanakunywa bia