Tetesi: Hali si shwari Kilombero, mabomu yasikika yakilipuliwa

leiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
657
Reaction score
1,560
Mabomu yanasikika maeneo ya Nyandeo na Kidatu, bado sijapata taarifa kamili ya kipi kinachojiri kutoka kwa mnyetishaji wangu. Nitarudi kuwajuza zaidi
 
Nimepata taarifa kidogo tu kuwa kuna kijana walikuwa wanadaina na mmama fulani,sasa huyo mama akatumia nguvu ya pesa jamaha akawekwa ndani kituo cha polisi nyandeo polisi katika kumuojioji huku wanampiga jamaa amefariki,polisi wanatoa taarifa kuwa jamaa amejinyonga ndo waanachi wakasema mtu awezi kujinyonga akiwa kituoni polisi watakuwa mawemuua wenyewe kwa hiyo wamefunga barabara kubwa ya ifakara-mikumi wakiwaitaji mbunge,diwan na mkuu wa wilaya eneo la tukio
 
fuatilia mkuu, tujulishe zaidi
 
duuuh kituo cha polisi amejinyongaje wakati kabla haujaingia unachojolewa vitu vyote
 
hahahahah!!! polisi hawa wanakatisha ndoto za wengi kwa mambo ya kutumia busara tu wao ni virungu tu.

huyo mama nae ajiandae kuishi kimashaka.
 
Ya bagen yanajirudia kila uchwao ndani ya jeshi la polisi.
Hawajifunzi kwa kosa hawa viumbe.
 
duuuh kituo cha polisi amejinyongaje wakati kabla haujaingia unachojolewa vitu vyote
Hilo tukio linafanana na la mama mmoja alifia kituo cha polisi arusha mjini polisi wakasema eti kajinyonga
 
Hilo ndio jeshi letu bhana, pesa mbele, maskini weeee washamtoa kafara kijana wa watu
 
Nimepata taarifa kidogo tu kuwa kuna kijana walikuwa wanadaina na mmama fulani,sasa huyo mama akatumia nguvu ya pesa jamaha akawekwa ndani kituo cha polisi nyandeo polisi katika kumuojioji huku wanampiga jamaa amefariki,polisi wanatoa taarifa kuwa jamaa amejinyonga ndo waanachi wakasema mtu awezi kujinyonga akiwa kituoni polisi watakuwa mawemuua wenyewe kwa hiyo wamefunga barabara kubwa ya ifakara-mikumi wakiwaitaji mbunge,diwan na mkuu wa wilaya eneo la tukio
Ndio polisi waliovimbishwa vichwa hawa.
 
hahahahah!!! polisi hawa wanakatisha ndoto za wengi kwa mambo ya kutumia busara tu wao ni virungu tu.

huyo mama nae ajiandae kuishi kimashaka.
Hata makonda nae alisema piga tu..sasa unadhani wao watamtii nani kama sio bosi wao.nikipigo tu hata ukisogelea kituo
 
Na awamu hii police kazi ipo,,,ivi hawajasikia ya mwenzao kuhukumiwa kufa bw. Bageni
 
Back
Top Bottom