Mngendalyasota
Senior Member
- Jan 22, 2011
- 171
- 48
Mnaonaje mkijitolea japo kwa siku mbili kufanya usafi ili muwe salama kutoka kwa magonjwa hatarishi!
Ha ha haaaa yani waanze tu masista duu na mablaza men..not in Tz
Hao bora uwaambie warie hela wakafanyiwe usafi
wale ni wasomi mkuu hawawezi kufagia.Mnaonaje mkijitolea japo kwa siku mbili kufanya usafi ili muwe salama kutoka kwa magonjwa hatarishi!
wale ni wasomi mkuu hawawezi kufagia.
wale ni wasomi mkuu hawawezi kufagia.
Usomi ni kufanya vitu kwa vitendo, acheni utoto. Fanyeni usafi. Tatizo lenu ubishoo mwingi ukizingatia ishu za pale block G
Mnaonaje mkijitolea japo kwa siku mbili kufanya usafi ili muwe salama kutoka kwa magonjwa hatarishi!