Hali si shwari na GRG EXPRESS

Hali si shwari na GRG EXPRESS

Zorima Richard

New Member
Joined
Aug 9, 2022
Posts
3
Reaction score
3
Hali si shwari hapa Dodoma! Gari letu (GRG EXPRESS ) kutokea Mwanza - Dar limeharibika na tunasubiri litengemae, lakini hatujui tutafika lini Dar, kwani linaharibika kila wakati na abiria wanasema hawatopanda tena hili basi.

Tumetoka mwanza tangu Jana jioni na sasa tupo Dodoma, tunaachwa hadi na malori kwa sababu gari halina speed

Wana JF, yeyote aliyewahi kukwama njiani kwa tatizo la gari, mlifanya nini? 🚗⏳

Tupo na matumaini litakarabatiwa mapema, lakini hii ni changamoto ya safari zetu barabarani. Msaada wa mawazo na uzoefu wenu
 
Kama huna hela komaa nao.. ila kama mpunga upo una exchange unapanda zako hata treni dk 0 upo dsm
 
Hizo gari mwanza hua tunaziita ngumu kumeza.
Kama sio mwenyeji ndo wanakukatia maana watakupump na maneno kibaaao utapewa ticket bila kuona gari then ukifika ukaliona mtu aliekukatia hutamuona wala kumsikia na nauli hairudi.
Ushauri wa bure, next time inatakiwa ujuane na ma agent waliokabidhiwa magar au wenye uzoefu wa stendi hiez kosa gari zuri
 
Shida kidogo unatujazia threads tu, so unatakaje? watu waje wajadili khs hiyo safari au gari?, kwenye bus si kuna namba za Latra na polisi, piga
 
Makampuni ya uhakika haujayaona?
Poleni Sana, na kama hauna pesa mfukoni kazi unayo mkuu najua kuanzia jumatatu ndiyo utaingia DAR
 
Back
Top Bottom