Hali si shwari hapa Dodoma! Gari letu (GRG EXPRESS ) kutokea Mwanza - Dar limeharibika na tunasubiri litengemae, lakini hatujui tutafika lini Dar, kwani linaharibika kila wakati na abiria wanasema hawatopanda tena hili basi.
Tumetoka mwanza tangu Jana jioni na sasa tupo Dodoma, tunaachwa hadi na malori kwa sababu gari halina speed
Wana JF, yeyote aliyewahi kukwama njiani kwa tatizo la gari, mlifanya nini? 🚗⏳
Tupo na matumaini litakarabatiwa mapema, lakini hii ni changamoto ya safari zetu barabarani. Msaada wa mawazo na uzoefu wenu