Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Shem kashtuka kama sister ana chat sana na mtu flani. Anahisi kama ni mchepuko wake. Sister angu mjeuri sana kuna kipindi huwa nasema hata mimi nsingeweza kumuwowa. Huwa natamani nimuwambe makofi. Sema basi tu. Maana mimi ni kaka yake.
Hapa home hakuna amani sister kuna siku kamtukana sana shem. Nahisi pia sister alimwekea limbwata shem. Maana .... Ila naona kidogo kama shem akili imerudi kwa asilimia chache hivi.
Sasa kifurushi cha DSTV Kimeisha. Nashindwa kumwambia shem maana amenuna. Mimi hakuwa bored sana siku nzima nitaangalia ile DSTV 100 nitaweza kweli? Ni ngumu.
Sasa nashindwa nafanyaje maana nawapeleka watoto shule then narudi tu home kuzagaa zagaa mpaka saa 9 tena kwenda wachukua. Wasiwasi wangu shem akiamua kumuacha Sister inakuaje? Yaani huyu sister sometime namuwazia naona kama ni mbinafsi sana. Anajiangalia yeye tu haangalii matendo yake yanaweza kutuathiri vipi sisi wengine.
Ni utoto sijui? Nyie wadada mnapoolewa kaeni vizuri na waume zenu madhara ya kuachana ni makubwa sana katika jamii. Kama hamwezi kuoeleww toka mapema bora muache. Maana sasa ni kuja leteana usumbufu umri huu nianze hangaika tena pa kukaa au kurudi kijijini. Siyo haki hata kidogo. Siku ya 4 hii nakosa raha, sina amani kabisa.