Ubavu
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 2,790
- 3,263
Habari za usiku huu wakuu. Hopeful wengi wetu siku ya leo ilienda poa. Baada ya formalities naomba niende kwenye mada husika.
Kama kichwa kinavyosema, rafiki yangu hali ni tete katika mahusiano yake. Shida kubwa inayomsumbua ni kushindwa kugegeda kwani mjegejo wake kwa siku za hivi karibuni umekuwa ukimsumbua sana.
Shida inakuja ni kwamba wakiwa katika majambozi mjegejo unalegea kabisa na kushindwa hata kuingia kichwa tu!. Anasema wanapoanza foreplays (romance) mjegejo huwa unasimama vizur tu, hali hiyo huendelea mpaka pale tu linapokuja swala la kumalizia kazi ndipo mauzauza hayo yanamtokea.
Jamaa anasema hajawahi kugegeda hata siku moja. Na kwa issue ya mjegejo kusimama jamaa anasema kwamba hakuna shida yoyote kwa maana hapo nyuma alishawahi kuwa mwanachama wa CHAPUTA na alikuwa anafika mshindo bila ya shida yoyote.
Hali hii imeshamtokea kama mara tatu hivi. Mara ya kwanza alidhani ni mfadhaiko tu wa kawaida and so alichukulia kawaida but kwasasa jamaa ameshaanza kutokujiamini. Jamaa amevuka mid 20s na kiafya (physically) yupo vizur kabisa ila shida ipo hapo tu.
Ushauri wangu nmemwambia asiliendee tendo hilo kwasasa mpaka atakapopata ufumbuzi kwan kama akiliendea halafu akashindwa basi kuna uwezekano akazidi kuathirika kisaikolojia.
Nimelileta swala hili hapa ili kama kuna member anayejua dawa ya hii kitu tumsaidie ndugu yangu huyu maana amenyong'onyea kabisa..! Nakaribisha mawazo yenu. Kejeli hapa janvini zimezoeleka so unaweza kuziweka pia maana ni kawaida humu.
Ubavu!