Daha maskini ya Mungu, ndugu zangu wana dansi unajua hata bongo fleva na bongo movie hawapendani tena huwa wanalogana kabisa lakini wakiwa na shida fulani au wakiona hatari inawakabili huwa wanakuwa kitu kimoja na nyinyi fanyeni hivyo maana kinawachotokea sasa ni aibu jameni.
Week hii Twanga wameingiza 60,000 baada ya kuburudisha watu 12 Dodoma na Ally Choki kapata 50,000 baada ya kupata watu 10 huko Njombe
Poleni sana maana hata maukumbi mlikuwa mmechukua makubwaaaaa, dah aisee
*****. Ndio wajifunze. Dansi imekufa kwa wasanii kuendekeza mapedegjze. Hawana ubunifu, wamezidi kucopy congo, wanachukiana na kufitiniana sana wao kwa wao. Amebaki bella tu. Naye ameswitch to afro pop.