Hali Tete: North Korea wavamiwa na Corona Virus

Acheni porojo za kahawa hapa huo ujonjwa unatokana na tabia zao za kupenda kula hovyo.
Kama ni marekani basi hawatakii mema washirika wake maana japan na S. Korea wamesha hathirika na huu ugonjwa.
Ni aibu kwa tz kuwa na wasoni wenye mawazo mgando kama nyinyi.
 
... ngamia pia wana virusi jamii ya corona.
 
USA aliwatuma wale popo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…