Wapumbavu sana hawa watoto,nashindwa hata kushangaa kwanini wanazubaa namna hii..wanajipodoa alafu ikifika ijumaa ndo wanajifanya wanagoma,kwanini msigome sasa ili kama ni siku tatu mnafukuzwa bila muafaka ieleweke,sasa nyie mnakuwa kama vile mlikuwa mmefeli alafu mkapelekwa hapo kwa hisani ya Mkandara