H harrysonful Member Joined Oct 27, 2010 Posts 34 Reaction score 0 Nov 1, 2010 #1 Jamani anaejua matokeo ya same mashariki tafadhali tujuzeni
N Nanu JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 1,222 Reaction score 71 Nov 1, 2010 #2 Anaongoza kwa kura!!!! Ataweza shinda!
jyfranca JF-Expert Member Joined Oct 3, 2010 Posts 297 Reaction score 8 Nov 2, 2010 #4 Anne kashashinda
Mhafidhina JF-Expert Member Joined Feb 6, 2008 Posts 549 Reaction score 23 Nov 2, 2010 #5 Jamani hivi kuna mtu ana matokeo ya Ayubu Ryoba yule aliekua mtangazaji na mwanaharakati alikua anagombea kupitia kwa ticket ya CHADEMA
Jamani hivi kuna mtu ana matokeo ya Ayubu Ryoba yule aliekua mtangazaji na mwanaharakati alikua anagombea kupitia kwa ticket ya CHADEMA