Alishasema kuwa yeye ni Katibu wa chama kama atashindwa atafanya kazi hiyo ndani ya chamaWapendwa wanajamii wenzangu naomba nielimishwe kama kuna uwezekano wowote wa mheshimiwa Dr. Slaa( PhD YA DARASANI) kupata ubunge wa viti maalumu ikitokea kwa bahati mbaya ccm wakafanikiwa kuchakachua matokeo ili naye akaongeze na kuendeleza mapambano pale mjengoni Dodoma ya watanzania.
Wapendwa wanajamii wenzangu naomba nielimishwe kama kuna uwezekano wowote wa mheshimiwa Dr. Slaa( PhD YA DARASANI) kupata ubunge wa viti maalumu ikitokea kwa bahati mbaya ccm wakafanikiwa kuchakachua matokeo ili naye akaongeze na kuendeleza mapambano pale mjengoni Dodoma ya watanzania.
Dr. Slaa siyo mtu mdogo kama unavyofikiri

Elimu nayo muhimu. You can not expect something valuable from a person like MakambaDr. Slaa ni katibu wa CHADEMA, mtu makini; Siyo kama mropokaji Makamba(Mwalimu mkuu mstaafu). Siamini kuwa Dr. Slaa atashindwa iwapo uchaguzi ulifanyika kwa haki na kura hazitachakachuliwa. Ikitokea kwa bahati mbaya ameshindwa ataendelea kutimiza wajibu wake katika chama kama ktibu mkuu; Ataendelea kukijenga chama makini ili 2015 kiongoze watanzania kukamilisha kazi ya kurejesha uhuru wa kweli uliopatikana mwaka 1961.
Wapendwa wanajamii wenzangu naomba nielimishwe kama kuna uwezekano wowote wa mheshimiwa Dr. Slaa( PhD YA DARASANI) kupata ubunge wa viti maalumu ikitokea kwa bahati mbaya ccm wakafanikiwa kuchakachua matokeo ili naye akaongeze na kuendeleza mapambano pale mjengoni Dodoma ya watanzania.
Binti maringo pole wewe ambaye wananchi wamejieleza wazi kuwa wamechoka, Tena hivi mmefunnga vyuo vikuu kwa kuogopa nguvu ya vijana wasomi, pamoja na uchakachuaji ndio labda JK (phd ya disco) ashinde la sivyo, kama haki-vyuo vingekuwa wazi-kura wazi walaaaaaaa BUT we'll reach there wanamapinduzi hawafi moyo.
Asante sana mpendwa.Kufuatana na taarifa mpaka sasa inaelekea Wapinzani watakuwa na Wabunge wengi sana ukilinganisha na Bunge lilopita. CCM itashinda Urais labda kwa kama 60% [au chini ya hapo]. Huu kwangu mie ni ushindi mkubwa sana kwa Wapinzani na somo kubwa sana kwa CCM. Hali ya serikali haitakuwa kama ilivyokuwa katika Bunge lililopita ambapo Chadema walikuwa na Wabunge watano tu - Ingawaje kulikuwa na Wabunge wengine wa upinzani wa CUF - wengi wao walitokea Visiwani na kero za wananchi wa Bara zilikuwa haziwasumbui sana. Wabunge hao 5 wa CHADEMA walikuwa mwiba sio tu kwa serikali bali kwewa CCM na hasa wale mafisadi ndani ya chama hichi.
CCM inabidi ijifunze toka hili na mtu wa kwanza ambae angetakiwa juma lijalo ajiuzulu ni Katibu Mkuu - Makamba. Mengi yaliyotokea ni own goal on the part of CCM - hasa katika stage ya kura za maoni - ambapo Chama kilikuwa hijacked na mafisadi. Katibu Mkuu alishindwa kabisa kuzuia vyombo muhimu vya CCM katika ngazi zote - kuanzia kata mpaka kitaifa kuwa hijacked na mafisadi. Uchaguzi wa CCM wa 2012 ni lazima usahihishe haya makosa - ama sivyo mwaka 2015 CCM itasambaratika kama KANU; UNIP etc.
Mungu ibariki Tanzania; Mungu ibariki Afrika.