Hali ya bahari yarejea kuwa shwari

Hali ya bahari yarejea kuwa shwari

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,751
Kufuatia gharika iliyoikumba pwani ya maneromango na kusabisha upepo mkali na mawimbi makubwa, upepo huo ulisababisha baadhi ya wavuvi kwenda na maji na wengine vyombo vyao kuharibiwa. Mvuvi mmoja kutoka Mwanza na mwingine kutoka dsm wamenusurika ingawa wamejeruhiwa vibaya. Hata hivyo hali ya bahahari imetulia na wavuvi wanaendelea na shughuri zao za uvuvi ingawa bado kuna hali ya tahadhari. Chanzo cha gharika hiyo ni nyangumi wawili ambao walitunishiana msuli hali iliyopelekea nyangumi mmoja nyeti zake kuonekana na wavuvi,hata hivyo idara ya hali ya hewa imetahadharisha huenda nyanguni wengine wakachomoa betri na bahari ikachafuka tena.
 
lakini si amesema ni sababu ya uchovu jama mbona nyie sio waelewa
 
Hivi mi ndo sina connection hizo picha ndo sijaona hadi leo
 
Tunashukuru upepo umepita sasa wenzetu warudi tuendelee kupiga soga
 
Back
Top Bottom