Wadau natamani kuwekeza kwenye kilimo cha ufugaji nyuki na kufa ya baishara ya Asalia nchini Tanzania. Ningependa kujua taarifa za kuasidia kujua hali ya biashara na ili mtu afanikiwe ni mambo gani inabidi azingatie.
Wazoefu, please karibu kushare uzoefu wenu
Wazoefu, please karibu kushare uzoefu wenu