Kila la kheri katika soko la biashara ya nyuki na mazao yake
Hey nimekuwa nikutafuta bila mafanikioSoko la ndani ni gumu sana kwa sasa
Kama utapata connection ya ku export then utaukata umaskini
Kilimo cha ufugaji nyuki na biashara ya asali ni fursa nzuri nchini Tanzania kutokana na mahitaji makubwa ya asali kwa matumizi ya ndani na hata kwa ajili ya kuuza nje. Ili kufanikiwa katika biashara hii, hapa kuna mambo ya kuzingatia:Wadau natamani kuwekeza kwenye kilimo cha ufugaji nyuki na kufa ya baishara ya Asalia nchini Tanzania. Ningependa kujua taarifa za kuasidia kujua hali ya biashara na ili mtu afanikiwe ni mambo gani inabidi azingatie.
Wazoefu, please karibu kushare uzoefu wenu
KweliSoko la ndani ni gumu sana kwa sasa
Kama utapata connection ya ku export then utaukata umaskini