Hali ya CHADEMA katika picha muundo wa Ngalawa

Katiba mpya itavilinda vyama vyote vya siasa visife KWA kuumizwa na chama Tawala KWA KUTUMIA jeshi la polisi!vyama vitakuwa na haki ya kikatiba ya kuhoji serikali hata kufanya mikutano ya siasa bila karipio au figisu kutoka chama tawala!!


"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA""!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…