mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Tumeambiwa wachezaji (13) wa Simba wanaumwa mafua na kukohoa pamoja na vifua posbly ni Covid19
Wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake u20 wamekutikana na Covid19 ni 16
Zitto kabwe amekutwa na Covid19
Kocha wa Yanga ,Mohammad Nabi,nae amethibitisha kuwepo wagonjwa kambini mwake
Watu dar wanamafua makali
Tusidanganyane Gwajima atoke na atuambie kuwa tumevamiwa
Na sisi wananchi tuanze kuchukua hatua