Hali ya Covid19 nchini Mwetu

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Tumeambiwa wachezaji (13) wa Simba wanaumwa mafua na kukohoa pamoja na vifua posbly ni Covid19
Wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake u20 wamekutikana na Covid19 ni 16

Zitto kabwe amekutwa na Covid19

Kocha wa Yanga ,Mohammad Nabi,nae amethibitisha kuwepo wagonjwa kambini mwake
Watu dar wanamafua makali

Tusidanganyane Gwajima atoke na atuambie kuwa tumevamiwa
Na sisi wananchi tuanze kuchukua hatua
 
Sisi tuna mafua makali TU, kwani hamuelewi au mnatakaje Kwa mfano, au turudishe kibanda fukiza kama mmekimiss, ila kumbukeni mlimsikiliza gwajiboy mkagomea chanjo, Sasa subirini kikaango kama akina Mr . Slow &co
 
Covid19 Tz inaua lakini hamna mtu anaiogopa
 
Hii ingeshakuwa Nyungu season 4 sema legend wa hayo makitu amefia kwenye ua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…