TCSPM
Member
- Dec 3, 2020
- 52
- 78
Habari!
Wanajukwaa siku za hivi karibuni bandarini kumekuwa na hali mbaya sana katika uingiaji na utokaji wa malori bandarini lori ambalo linaanzia foleni malawi cargo mpaka lifike kitopeni liingie bandarini lipakie litoke lije litumie mizani wa Malawi cargo ni kama 4km tu lakini lori linatumia zaidi ya 24h kwa huo mzunguko hii ni mbaya sana huu si ufanisi uliokusudiwa.
Natoa wito kwa mamlaka husika kufanya uchunguzi wa hili tatizo na kuliweka sawa kwa taarifa isiyo rasmi kutoka kwa moja ya wadau wakubwa wa kazi ya kuhamisha makasha (madereva) wanadhani wafanya kazi wa bandari yetu wana mgomo baridi.
Hivyo mamlaka husika litazameni hili kwa jicho la kipekee kbs.