Hali ya haja kubwa kutoa harufu kali sana inasababishwa na nini?

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Nipo Zenjibar kwa mama kizimkazi. Nimeshavuruga sana huko Mchambawima, Dole na Bubu.

Changamoto kubwa week ya 3 hii nikienda haja kubwa harufu inatoka kali sana. Mimi mwenyewe nashindwa himili. Sielewi shida ni nini. Maana sasa hapa Hotelin nikiingiza demu sithubutu kwenda maliwato.

Maana harufu inatoka ni kali kuna kipindi mpaka naji feel kizungu zungu. Nawaza sababu ni nini wadau.
 
vipi unajisaidia mayai viza?

ulimuahidi mtoto wa kipemba ndoa alafu ukamchezea karekebishe kabla hujaribikiwa zaidi..!
 
Sababu zinaweza kuwa miongoni za hizi.

Kutokunywa maji ya kutosha.

Kula vyakula vyenye viungo sana

Kula vyakula vyenye protini zaidi kama maharage, nyama

Kula vyakula vyenye mafuta sana.

Kula vyalula vinavyokaa tumboni muda mrefu.(yaaan utaona muda wa kwenda haja kwa siku ni mara moja au bahati mbaya mbili)

MOJA YA NJIA NZURI NI KUTUMIA MAZIWA MTINDI KILA KWENYE MLO WAKO... MTINDI HUSAIDIA KUTOA HATA HARUFU YA JASHO, MDOMO ,N.K

na kuzingatia hayo kutoyafanya
 
Nipo Zenjibar kwa mama kizimkazi. Nimeshavuruga sana huko Mchambawima, Dole na Bubu.

Changamoto kubwa week ya 3 hii nikienda haja kubwa harufu inatoka kali sana. Mimi mwenyewe nashindwa himili. Sielewi shida ni nini. Maana sasa hapa Hotelin nikiingiza demu sithubutu kwenda maliwato.

Maana harufu inatoka ni kali kuna kipindi mpaka naji feel kizungu zungu. Nawaza sababu ni nini wadau.
Choo kwa siku unapata mara ngapi??
 
pole,ni ishara ya consipation . Kazania papai na ukwaju
 
Nipo Zenjibar kwa mama kizimkazi. Nimeshavuruga sana huko Mchambawima, Dole na Bubu.

Changamoto kubwa week ya 3 hii nikienda haja kubwa harufu inatoka kali sana. Mimi mwenyewe nashindwa himili. Sielewi shida ni nini. Maana sasa hapa Hotelin nikiingiza demu sithubutu kwenda maliwato.

Maana harufu inatoka ni kali kuna kipindi mpaka naji feel kizungu zungu. Nawaza sababu ni nini wadau.
Mkuu haujatafuna doriani kweli?
 
Back
Top Bottom