Vifaranga200 Senior Member Joined Oct 28, 2022 Posts 163 Reaction score 177 Nov 4, 2022 #1 Ki kawaida Hali za hewa Zina athari na kuwaumiza baadhi ya binadam. Siku hizi chache hakujatulia kabisa. Leo jua kama limeshuka inch kadhaa. Ni vema wataalam wa weather wakasema jambo kama kuchukua tahadhari, kutotembea juani nk kuliko kukaa kimya
Ki kawaida Hali za hewa Zina athari na kuwaumiza baadhi ya binadam. Siku hizi chache hakujatulia kabisa. Leo jua kama limeshuka inch kadhaa. Ni vema wataalam wa weather wakasema jambo kama kuchukua tahadhari, kutotembea juani nk kuliko kukaa kimya
evonik JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 3,996 Reaction score 5,156 Nov 4, 2022 #2 Hapa ifakara inasoma 35
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Nov 4, 2022 #3 Hata hili hadi tuambiwe tusitembee mwendo mrefu kwenye jua? Vingine tujiongeze
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Nov 4, 2022 #4 Tupande miti inayoleta kivuli tumwagilie na urine
goroko77 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 8,845 Reaction score 13,072 Nov 4, 2022 #5 Nilitembeaa kutoka ilazo had Kona Martin Luther Kisha nikadaka bajaji aisee nilijiona Kama nakaangwa hv
Nilitembeaa kutoka ilazo had Kona Martin Luther Kisha nikadaka bajaji aisee nilijiona Kama nakaangwa hv