Hali ya hewa ya huku kwetu inanipa raha sana

Hali ya hewa ya huku kwetu inanipa raha sana

chumanil

Senior Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
121
Reaction score
73
poleni ndugu zangu mnao angaika na joto Kali uko kwenu.mana nyie ikinyesha mvua,shida jua ndo baraha kabisa.yaan ninyi amjulikani kipindi gani kwenu mnafurahia.ikinyesha mvua mafuriko,MNA lala juu ya paa.jua likiwa Kali MNA lala nnje.hivi MNA taka nini?njoeni nnje ya mji mfurahie maisha.upepo,mwanana,mvua za hapa na pale.akuna kelele za vigodora,bar ziko mbali.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]una hamu na mapovu wewe maana wanaume wa mkoa huo wana mapovu kama dada zao hawana tofaut
 
Hakuna sehemu nzuri hapa Tz kama dar ...kila kitu kiko dar kizuri .
 
Maisha popote mkuu..kubwa MSHIKO.mbona bibi zetu wko mwinde je awaishi?acha kujisaulisha.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]una hamu na mapovu wewe maana wanaume wa mkoa huo wana mapovu kama dada zao hawana tofaut
Unayumba MJUMBE na kauli zako.mkoa atuna shida.tunajivunia kua SHABABI,povu tunawaachia wamjini kwetu kazi tu.
 
Back
Top Bottom