Dalili za kuitamani Tanzania yenyeweNakukumbusha wewe mkuu unae edit life.
Njoo kwetu..ufurahie uwepo wko dunia[emoji1] [emoji1]
Unayumba MJUMBE na kauli zako.mkoa atuna shida.tunajivunia kua SHABABI,povu tunawaachia wamjini kwetu kazi tu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]una hamu na mapovu wewe maana wanaume wa mkoa huo wana mapovu kama dada zao hawana tofaut
nahisi hujamuelewa mchangiaji uliyemqoute!Unayumba MJUMBE na kauli zako.mkoa atuna shida.tunajivunia kua SHABABI,povu tunawaachia wamjini kwetu kazi tu.