Magezi bugaga
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 1,913
- 2,662
Sasa hiyo hali njombe uwa inadumu hivyo kwa takribani miezi 9Habari za Sabato!
Kwa kweli hali ya hewa ya jiji la Chalamila inashawishi sana.
Nawasiliana na wanasheria wananiambia hapa kuwa leo ukifanya makosa sheria zitaangalia. Sasa sijajua kama ni kweli au laa. Maana hawa Wanasheria siku hizi wa ChatGPT wanaweza kukuingiza mkenge ukabaki unabung'aa.
Hali ya hewa inashawishi. Na nimeshawishika.
Hallelujah
Sasa hiyo hali njombe uwa inadumu hivyo kwa takribani miezi 9
Kuchezea papa mangiii, hata leo hali iko shwari sana...Inashawishi kitu gani bwashee?
Watu wa daslamu bhana😅Kuchezea papa mangiii, hata leo hali iko shwari sana...
Hutaki tufurahie maisha mangii?Watu wa daslamu bhana😅
Nataka bwasheeHutaki tufurahie maisha mangii?
Wee ukila bia zako umetuona tukikusumbua?😅Acha nongwa!!Nataka bwashee