Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Aise kweli tumeisahauUmeyasahau ya CONGO na Rwanda
Picha imetoa ujumbe mkubwa na mzito kuliko maelezo uliyotoa.View attachment 3240979
Sehemu ndogo nyeupe kwenye ramani ni ISRAEL, na sehemu ya kijani ni nchi za Kiarabu. ISRAEL ina idadi ya watu milioni 9 pekee, huku nchi za Kiarabu zikiwa na karibu milioni 500. Ingawa hali hii, zaidi ya miaka 120, WAARABU wamekuwa wakinyanyaswa na ISRAEL. Na nina uhakika kwamba kufikia mwaka 2025, ISRAEL itakuwa imefika Damascus.
Thread inatakiwa ufungwe kwa hii commmet yako .. israle nje ya usa hawez kupigana hata kwa week tatuTia mmarekani hapo kwenye nyeupe tuanze kujadili
HapanaSomalia kumbe nayo ni nchi ya kiarabu?