engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Hali ya kisiasa nchini Uganda inazidi kutokota, kufuatia uamuzi wa kumpunguzia nguvu Waziri Mkuu Amama Mbabazi ambaye pia ni katibu mkuu wa chama tawala cha NRM. Majukumu ya katibu mkuu wa chama cha NRM sasa amekabidhiwa waziri asiye na wizara maalumu Richard Todwong. Haya yanajiri baada ya madai kwamba mke wa Mbabazi anaendesha kampeni kuwashawishi watu kumuunga mkono mumewe kuwania urais katika uchaguzi wa mwaka 2016.
chanzo:
https://www.facebook.com/dw.kiswahilichanzo: