1. Mwenyekiti yupo kimya anaonekana kwenye makongamano tuu ya TCD na aina iyo. Hakuna kauli yoyote toka Kamati Kuu ikae
2. Makamu Mwenyekiti anafanya mikutano peke yake (sio kitaasisi) huku akiendelea kupitisha bakuli la kununua shangingi. Kajikita singida kwao. Je, anataka kuanzisha Chama chake
3. Lema (Nabii) kajiweka pembeni kwasasa haongelei Chama kabaki kutumia akaunti feki kumsakama makonda na Samia
4. Msigwa nae leo kuongea na wanahabari kutokea nyumbani kwake.
Chama kinaenda mlama na Kila mtu Kawa kambale