Hali ya kisiasa yazidi kuzorota, Uhuru Kenyatta awarudisha nyumbani mawaziri wote

Hali ya kisiasa yazidi kuzorota, Uhuru Kenyatta awarudisha nyumbani mawaziri wote

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Rais Uhuru Kenyatta amewataka mawaziri wote pamoja na makatibu katika wizara kuchukua likizo ya mapumziko.

Likizo hiyo ya siku 14 itaanza Jumatatu, Agosti 17 hadi Septemba 3 kulingana na taarifa kutoka Ikulu.

Aidha katibu wasimamizi na katibu wa kudumu pia wametakiwa kuenda nyumbani kupumzika kwa kipindi hicho.

Duru zinaarifu huenda hatua hiyo ni kumuwezesha Rais kutangaza baraza lipya la mawaziri.

Mawaziri waingiwa na wasiwasi baada ya Rais Uhuru kuwatuma mapumziko

======

MY TAKE: Haya ndio matokeo ya kumchagua mlevi kuwa rais wa nchi [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Asanteni kwa kuiweka Kenya kwenye most searched by Watanzagiza 😉 Muendelee hivyo ku-google Kenya.
2484593_most.jpg
 
Niliwaambia huu mwaka watatii Uhuru kaona mambo yake yanaharibikiwa kutokana na kupimani kifua na watz na serikali ya tz pamoja na magufuli sasa kajua Kenya inadondoka kwenye vita waliyo anzisha wenyewe dhidi ya tz
Not everything is about Tanzania you
 
Asanteni kwa kuiweka Kenya kwenye most searched by Watanzagiza 😉 Muendelee hivyo ku-google Kenya.
View attachment 1538330
West Afrika iko dominated na flags za Ghana na Nigeria. Ghana kanchi ka watu 29 milion ndio kanakosesha nchi za West Afrika usingizi. Hapa East Afrika Kenya ndio inakosesha majirani usingizi
 
President Uhuru Kenyatta has sent all Cabinet members on a 14-day working leave starting August 17 amid speculation about a looming reshuffle.

Cabinet secretaries, principal secretaries, chief administrative secretaries and the Attorney-General will only attend to national emergencies during this period.

Head of Public Service Joseph Kinyua communicated the decision on Friday, saying the next Cabinet meeting will take place on September 3.

It is said that President Kenyatta aims to make changes in the Cabinet in a race against time to implement legacy projects under his Big Four agenda.

Ahead of his expected retirement in 2022, he has been focusing on the agenda that covers universal health coverage, affordable housing, food security and manufacturing.

It has also been said that the President is working on a reorganised government that will be more “cohesive” and include the Opposition.
 
West Afrika iko dominated na flags za Ghana na Nigeria. Ghana kanchi ka watu 29 milion ndio kanakosesha nchi za West Afrika usingizi. Hapa East Afrika Kenya ndio inakosesha majirani usingizi
We jamaa utakuwa mgonjwa si bure
 
West Afrika iko dominated na flags za Ghana na Nigeria. Ghana kanchi ka watu 29 milion ndio kanakosesha nchi za West Afrika usingizi. Hapa East Afrika Kenya ndio inakosesha majirani usingizi
Hahahaha, kwasababu mumekua exposed mumienza kutapatapa, miaka ya nyuma mlikua mnaishi kwa kudanganywa na vyombo vyenu vya habari vilivyowajaza ujinga na kujiona mpo vizuri, sasa mumeanza kujua ukweli mnachanganyikiwa na kubaki kurusha mikono hewani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wiki hii health minister altakiwa akahojiwe na kamati ya bunge (afya) kuhusu matumizi ya fedha za covid19 so huu ni mwendelezo wa Kenyata kukombatia mafisadi as usually sijui na yeye amepiga😦😦
sioni jipya
 
Hahahaha, kwasababu mumekua exposed mumienza kutapatapa, miaka ya nyuma mlikua mnaishi kwa kudanganywa na vyombo vyenu vya habari vilivyowajaza ujinga na kujiona mpo vizuri, sasa mumeanza kujua ukweli mnachanganyikiwa na kubaki kurusha mikono hewani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umetusaidia Sana kwa hili 😁 keep it up boy
2484593_most.jpg
 
Please concentrate on your North Korea
What can you call this country?, it is beyond failed state

Read comments of Kenyans down here, all are tired what to run away from Kenya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rais Uhuru Kenyatta amewataka mawaziri wote pamoja na makatibu katika wizara kuchukua likizo ya mapumziko.

Likizo hiyo ya siku 14 itaanza Jumatatu, Agosti 17 hadi Septemba 3 kulingana na taarifa kutoka Ikulu.

Aidha katibu wasimamizi na katibu wa kudumu pia wametakiwa kuenda nyumbani kupumzika kwa kipindi hicho.

Duru zinaarifu huenda hatua hiyo ni kumuwezesha Rais kutangaza baraza lipya la mawaziri.

Mawaziri waingiwa na wasiwasi baada ya Rais Uhuru kuwatuma mapumziko

======

MY TAKE: Haya ndio matokeo ya kumchagua mlevi kuwa rais wa nchi [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Inaweza kuwa anataka kuboresha mifumo ya uongozi na uwajibikaji. Ata wakitolewa nima bogus tupu. Nchi imeendelea kuliwa chini yao.
 
Waone walivyodesperate wanatakakulazimisha kila kitu kinafanyika Kenya kiwe about Tanzania, jamaa wamejaa inferiority complex kupindukia
Mkenya na 'jamaa' wapi na wapi? 😂😂😂

Au nanyi siku hizi mmekua Taifa la Kijamaa?
Ninyi ndio mnaofatilia Tanzania mpaka kuongea mnatuiga 🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom