joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Source / evidence of thisAsanteni kwa kuiweka Kenya kwenye most searched by Watanzagiza [emoji6] Muendelee hivyo ku-google Kenya.
View attachment 1538330
Not everything is about Tanzania youNiliwaambia huu mwaka watatii Uhuru kaona mambo yake yanaharibikiwa kutokana na kupimani kifua na watz na serikali ya tz pamoja na magufuli sasa kajua Kenya inadondoka kwenye vita waliyo anzisha wenyewe dhidi ya tz
Waone walivyodesperate wanatakakulazimisha kila kitu kinafanyika Kenya kiwe about Tanzania, jamaa wamejaa inferiority complex kupindukiaAsanteni kwa kuiweka Kenya kwenye most searched by Watanzagiza [emoji6] Muendelee hivyo ku-google Kenya.
View attachment 1538330
West Afrika iko dominated na flags za Ghana na Nigeria. Ghana kanchi ka watu 29 milion ndio kanakosesha nchi za West Afrika usingizi. Hapa East Afrika Kenya ndio inakosesha majirani usingiziAsanteni kwa kuiweka Kenya kwenye most searched by Watanzagiza ๐ Muendelee hivyo ku-google Kenya.
View attachment 1538330
We jamaa utakuwa mgonjwa si bureWest Afrika iko dominated na flags za Ghana na Nigeria. Ghana kanchi ka watu 29 milion ndio kanakosesha nchi za West Afrika usingizi. Hapa East Afrika Kenya ndio inakosesha majirani usingizi
Hahahaha, kwasababu mumekua exposed mumienza kutapatapa, miaka ya nyuma mlikua mnaishi kwa kudanganywa na vyombo vyenu vya habari vilivyowajaza ujinga na kujiona mpo vizuri, sasa mumeanza kujua ukweli mnachanganyikiwa na kubaki kurusha mikono hewani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]West Afrika iko dominated na flags za Ghana na Nigeria. Ghana kanchi ka watu 29 milion ndio kanakosesha nchi za West Afrika usingizi. Hapa East Afrika Kenya ndio inakosesha majirani usingizi
Ameanza kupanic huyo baada ya kugundua kwamba mziki wa Tanzania sio wa kitoto.We jamaa utakuwa mgonjwa si bure
Umetusaidia Sana kwa hili ๐ keep it up boyHahahaha, kwasababu mumekua exposed mumienza kutapatapa, miaka ya nyuma mlikua mnaishi kwa kudanganywa na vyombo vyenu vya habari vilivyowajaza ujinga na kujiona mpo vizuri, sasa mumeanza kujua ukweli mnachanganyikiwa na kubaki kurusha mikono hewani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
What can you call this country?, it is beyond failed statePlease concentrate on your North Korea
Inaweza kuwa anataka kuboresha mifumo ya uongozi na uwajibikaji. Ata wakitolewa nima bogus tupu. Nchi imeendelea kuliwa chini yao.Rais Uhuru Kenyatta amewataka mawaziri wote pamoja na makatibu katika wizara kuchukua likizo ya mapumziko.
Likizo hiyo ya siku 14 itaanza Jumatatu, Agosti 17 hadi Septemba 3 kulingana na taarifa kutoka Ikulu.
Aidha katibu wasimamizi na katibu wa kudumu pia wametakiwa kuenda nyumbani kupumzika kwa kipindi hicho.
Duru zinaarifu huenda hatua hiyo ni kumuwezesha Rais kutangaza baraza lipya la mawaziri.
Mawaziri waingiwa na wasiwasi baada ya Rais Uhuru kuwatuma mapumziko
======
MY TAKE: Haya ndio matokeo ya kumchagua mlevi kuwa rais wa nchi [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Waziri kama Macharia, ni hovyo kabisa yule jamaa, chini ya Magufuli asingemaliza hata Wiki ofisiniInaweza kuwa anataka kuboresha mifumo ya uongozi na uwajibikaji. Ata wakitolewa nima bogus tupu. Nchi imeendelea kuliwa chini yao.
Mkenya na 'jamaa' wapi na wapi? ๐๐๐Waone walivyodesperate wanatakakulazimisha kila kitu kinafanyika Kenya kiwe about Tanzania, jamaa wamejaa inferiority complex kupindukia