Naton Jr JF-Expert Member Joined Oct 5, 2016 Posts 7,867 Reaction score 19,250 Aug 17, 2020 #21 Tony254 said: West Afrika iko dominated na flags za Ghana na Nigeria. Ghana kanchi ka watu 29 milion ndio kanakosesha nchi za West Afrika usingizi. Hapa East Afrika Kenya ndio inakosesha majirani usingizi Click to expand... Fake news Hakuna mtanzania mwenye time na nyie ndio maana hamna influences Tanzania Bali Kenya ipo influenced by Tanzania kuanzia burudani, siasa and everything
Tony254 said: West Afrika iko dominated na flags za Ghana na Nigeria. Ghana kanchi ka watu 29 milion ndio kanakosesha nchi za West Afrika usingizi. Hapa East Afrika Kenya ndio inakosesha majirani usingizi Click to expand... Fake news Hakuna mtanzania mwenye time na nyie ndio maana hamna influences Tanzania Bali Kenya ipo influenced by Tanzania kuanzia burudani, siasa and everything
Hoshea JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,420 Reaction score 3,772 Aug 17, 2020 #22 mwaswast said: Umetusaidia Sana kwa hili [emoji16] keep it up boy View attachment 1538866 Click to expand... Source ya hii kitu ni nn mazee, hiyo Twitter account?
mwaswast said: Umetusaidia Sana kwa hili [emoji16] keep it up boy View attachment 1538866 Click to expand... Source ya hii kitu ni nn mazee, hiyo Twitter account?
mwaswast JF-Expert Member Joined May 12, 2014 Posts 12,780 Reaction score 6,480 Aug 18, 2020 #23 Hoshea said: Source ya hii kitu ni nn mazee, hiyo Twitter account? Click to expand... Tafuta uzi huo unaelewa zaidi!
Hoshea said: Source ya hii kitu ni nn mazee, hiyo Twitter account? Click to expand... Tafuta uzi huo unaelewa zaidi!