ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Habari za jioni wakuu wa baraza, nina swali kwenu, hasa wale wanaoishi na wenza wao au wapenzi. Mwanzoni, penzi likiwa jipya unaweza hata kufanya mapenzi mara mbili kwa siku au kila siku.
Ila kadri muda unavyozidi kwenda, unamzoea mwenzako kiasi kwamba hata wiki inaweza kupita hamjafanya kitu, na unakuta hamjagombana, mko vizuri kabisa, mnakula vizuri, ila tu ile hamu inashuka sana.
Sasa nauliza kama kuna suluhisho lolote la kufanya ili umuone mpenzi wako kama mpya hata kama mkipumzika, basi zisizidi siku mbili. Mbona punyeto unaweza kufanya kila siku, kwanini isiwe kwa mke, tena unakuta mrembo haswa?
Na mkisema kwamba usile kila siku dagaa, badilisha kidogo leo maharage, itakuwa ni kuunga mkono umalaya.