H Hollyman JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 283 Reaction score 77 Nov 19, 2015 #1 Jaman hivi mtu anapopatwa na tatizo la kupooza upande kutokana na tatizo la BP , Je hali ya mgonjwa hurejea kama kawaida? Yaani hali ya kuupooza inaweza kutoweka?
Jaman hivi mtu anapopatwa na tatizo la kupooza upande kutokana na tatizo la BP , Je hali ya mgonjwa hurejea kama kawaida? Yaani hali ya kuupooza inaweza kutoweka?