kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele ametoa tahadhari kwa wananchi wanaoishi karibu na maeneo ya maji wahame kwa kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere linaendelea kufunguliwa maji yanazidi kuongezeka sambamba na mvua zinazoendelea kunyesha sehemu mbalimbali nchini.