Hali ya mafuriko wilaya ya Rufiji, Mkuu wa Wilaya atoa tahadhari ya kuongezeja kwa maji

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
6,716
Reaction score
12,116

Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Meja Edward Gowele ametoa tahadhari kwa wananchi wanaoishi karibu na maeneo ya maji wahame kwa kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere linaendelea kufunguliwa maji yanazidi kuongezeka sambamba na mvua zinazoendelea kunyesha sehemu mbalimbali nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…