Hali ya mafuta ikoje huko uliko?

Hali ya mafuta ikoje huko uliko?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Nipo Katoro mkoani Geita. Kwa zaidi ya siku moja, kuna baadhi ya sheli zimesitisha huduma. Hawana mafuta.

Hiyo ndiyo hali niliyoishuhudia katika baadhi ya maeneo niliyopita katika huu Mkoa tajiri wa dhahabu.

Hali ikoje kwingineko, hasa mliopo mijini DAR, MWANZA, ARUSHA, MBEYA na DODOMA?
 
Back
Top Bottom