DOKEZO Hali ya Mafuta ya Petroli Liwale ni tete kwa zaidi ya wiki sasa

DOKEZO Hali ya Mafuta ya Petroli Liwale ni tete kwa zaidi ya wiki sasa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Chui mnyama

Member
Joined
Apr 2, 2017
Posts
67
Reaction score
33
Pikipiki sasa zinakokotwa kama baiskeli, bodaboda wahaha! Bei yapaa kwa wauzaji wa videbe.

Inasemekana kuna mgomo wa wamiliki wa vituo vya mafuta. Hawaridhiki na bei ya sasa.

Vipi hali ya upatikanaji wa petrol kwa upande wako huko uliko mwana jukwaa mwenzangu?

Pia soma > Wilaya ya Ngara hakuna petroli siku ya nne
 
Uku niliko mafuta 2700 Lita moja petrol sheli kibao mpaka wanakugombania
 
Back
Top Bottom