Chui mnyama Member Joined Apr 2, 2017 Posts 67 Reaction score 33 Jul 14, 2023 #1 Pikipiki sasa zinakokotwa kama baiskeli, bodaboda wahaha! Bei yapaa kwa wauzaji wa videbe. Inasemekana kuna mgomo wa wamiliki wa vituo vya mafuta. Hawaridhiki na bei ya sasa. Vipi hali ya upatikanaji wa petrol kwa upande wako huko uliko mwana jukwaa mwenzangu? Pia soma > Wilaya ya Ngara hakuna petroli siku ya nne
Pikipiki sasa zinakokotwa kama baiskeli, bodaboda wahaha! Bei yapaa kwa wauzaji wa videbe. Inasemekana kuna mgomo wa wamiliki wa vituo vya mafuta. Hawaridhiki na bei ya sasa. Vipi hali ya upatikanaji wa petrol kwa upande wako huko uliko mwana jukwaa mwenzangu? Pia soma > Wilaya ya Ngara hakuna petroli siku ya nne
ARGAN MARA JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 1,020 Reaction score 2,716 Jul 14, 2023 #2 Uku niliko mafuta 2700 Lita moja petrol sheli kibao mpaka wanakugombania