Hali ya maisha ya sasa imekuwa ngumu

Hali ya maisha ya sasa imekuwa ngumu

TZ-1

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
4,321
Reaction score
7,501
Ambao tayari tumejijengea uzoefu wa maisha ya kutafuta na kusimamia vpato vyetu ndani ya 12/15 years kipindi chote hicho lakini huu mwaka naona umekuwa mgumu zaidi kuwahi kutokea

Facts
Kwa siku naweza kupokea jumbe za kuombwa Ela zaid ya watu 2/3 na wako seriously na uhitaji wakati huohuo na mimi nimebananishwa na bajeti kali ili nisitoke nje ya mstari.

Wataalamu wa uchumi (mcc mnasemaje)
 
Back
Top Bottom