Habari wana JFs MMU.
Hali si siri tena. Mambo yamebadilika ghafla. Twaweza kusema asante corona! Japo imekuja na mabalaa ya kuugua na baadhi ya vifo huko duniani na Leo Tz R.I.P Issa H. Mtibwa( kama sijakosea jina).
Pamoja na madhara hayo kwa upande mwingine Corona imekuja na matokeo chanya kimapenzi. Wale wadada wazuri wazuri waliokuwa wanatupiga chenga sasa wanatusalimia kwa bashasha na ukiomba mzigo unapewa fasta bila hiyana. Hali ni mbaya kiuchumi mtaani. Na inatarajiwa kuwa mbaya zaidi ikiwa hili janga litaendelea. Matokeo yake maringo na nyodo zimeisha kwa walimbwende.
Ni muda sasa sisi tulioko kwenye bomba la pesa lisiloathiriwa na mlipuko wa corona( yaani sisi watumishi wateule wa rais ktk nyadhifa mbali mbali) hali ni nzuri mno.
Wife kaongeza mahaba, mtaani ndio usiseme. Warembo full kujilengesha, leo tu nimemfumua mmoja mkali. Na kesho kuna mwingina naona ananipa appointment yeye mwenyewe.
Mahotel yamefungwa baadhi ya Bar zimepungua mauzo, kampuni mbali mbali ziko hoi na watumishi wao ( wengi hawa warembo) wamegeuza dira zao.
Hali ni nzuri na Covid-19.
Je huko kwako hali ikoje kimapenzi?? Leteni tathmini