Hali ya mazao huko kwenu ipoje?

Hali ya mazao huko kwenu ipoje?

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Wasalaam.

Huku Karatu mahindi yameota vizuri ila mvua hakuna.

Ikipita wiki moja hakuna mvua yanaelekea kukauka

Sijui maeneo mengine ila hali ya hewa ikiendelea hivi ni hatari.
 
TANGA MAZAO YOTE YAMEKAUKA TUNATEGEMEA KUPANDA TENA IKENYESHA
 
Katavi wa maiindi si haba ila wa mpunga majanga, japo muda huu na comment mvua inanyesha baada ya kusimama Kwa siku takribani 20.🙏
 
Back
Top Bottom