BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Mar 7, 2025 #1 Wasalaam. Huku Karatu mahindi yameota vizuri ila mvua hakuna. Ikipita wiki moja hakuna mvua yanaelekea kukauka Sijui maeneo mengine ila hali ya hewa ikiendelea hivi ni hatari.
Wasalaam. Huku Karatu mahindi yameota vizuri ila mvua hakuna. Ikipita wiki moja hakuna mvua yanaelekea kukauka Sijui maeneo mengine ila hali ya hewa ikiendelea hivi ni hatari.
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 12,445 Reaction score 27,920 Mar 7, 2025 #2 Dodoma toka nipande alizeti week ya 3 hii amna mvua inaelekea ya 4 na amna iiliiyo ota
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 6,602 Reaction score 10,801 Mar 7, 2025 #3 Kakola jua linaweza kuchoma nyasi zikawaka moto
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 2,998 Reaction score 4,948 Mar 7, 2025 #4 Mr Devil said: Dodoma toka nipande alizeti week ya 3 hii amna mvua inaelekea ya 4 na amna iiliiyo ota Click to expand... Subiri mkuu maana Kwa mungu yote yanawezekana
Mr Devil said: Dodoma toka nipande alizeti week ya 3 hii amna mvua inaelekea ya 4 na amna iiliiyo ota Click to expand... Subiri mkuu maana Kwa mungu yote yanawezekana
Mzaleee JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,069 Reaction score 3,899 Mar 7, 2025 #5 Mwanza mpunga unaanza kukauka mashambani yaani mvua isipo nyesha wiki 2 zijazo ukiwasha moto mpunga unaweza kuungua.
Mwanza mpunga unaanza kukauka mashambani yaani mvua isipo nyesha wiki 2 zijazo ukiwasha moto mpunga unaweza kuungua.
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Mar 7, 2025 #6 TANGA MAZAO YOTE YAMEKAUKA TUNATEGEMEA KUPANDA TENA IKENYESHA
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Mar 8, 2025 #7 Mwalimu wa tuisheni said: Kakola jua linaweza kuchoma nyasi zikawaka moto Click to expand... Nilienda NGULA aisee ni pakavu kama upo airpot
Mwalimu wa tuisheni said: Kakola jua linaweza kuchoma nyasi zikawaka moto Click to expand... Nilienda NGULA aisee ni pakavu kama upo airpot
MAKONGOLOSII JF-Expert Member Joined Jul 31, 2024 Posts 413 Reaction score 640 Mar 8, 2025 #8 Katavi wa maiindi si haba ila wa mpunga majanga, japo muda huu na comment mvua inanyesha baada ya kusimama Kwa siku takribani 20.🙏
Katavi wa maiindi si haba ila wa mpunga majanga, japo muda huu na comment mvua inanyesha baada ya kusimama Kwa siku takribani 20.🙏
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 9, 2025 #9 Poleni sana... Cc: Mahondaw