Hali ya mchezaji wa Mwadui ikoje?

maiyanga1

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
1,340
Reaction score
1,832
Jana kulikuwa na mechi ya U20 kati ya Simba na Mwadui. Wakati wa mchezo huo mchezaji wa Mtibwa alianguka na kupoteza fahamu uwanjani. Kwa wenye taarifa halibya mchezaji huyo ikoje?
Sambamba na hilo nilishangazwa na kitendo cha mwamuzi kumuacha kwa muda mrefu mchezaji wa Simba aliyekuwa anacheza huku anavuja damu.
 
Kichwa cha habari mchezaji wa mwadui kwenye content mchezaji wa mtibwa[emoji15]
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mchazaji wa mtibwa alikuwa anachezea Simba au Mwadui.......!

Msaada kidogo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…