Hali ya Mwili wa Binadamu baada ya kufariki

Wingawinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
623
Reaction score
1,531
Suala la kumkuta marehemu akiwa na atokwa na damu puani baada ya kulala mortuari kwa masaa 16 na je inakuaje mwili wa binadamu kukaa kwa masaa yote hayo bila ya kukakamaa yaani mwili unakuwa uso umevimba lakini viungo vyote viko laini havijakakamaa kwa masaa hayo yote mpaka anazikwa?
 
Suala la kumkuta marehemu akiwa na atokwa na damu puani baada ya kulala mortuari kwa masaa 16 na je inakuaje mwili wa binadamu kukaa kwa masaa yote hayo bila ya kukakamaa yani mwili unakuwa uso ume vimba , lakini viungo vyote viko laini havija kakamaa kwa masaa hayo yote mpaka ana zikwa?
Mwili wa binadamu au mamalia yoyote kina stage Kuna kuwa mlaini kukakamaa na kuwa mlaini tena.. Sio mtaalamu sana ila wajuvi watakuja elezea
 
ok, asante ngoja tuone wataalam zaidi wata semaje
 
Mtu aliye hai chembehai zake na mifumo iliyopo mwilini ina uwezo wa kuwezesha damu na maji yaliyo mwilini kuwa mahali palipolengwa. Mara anapofariki, chembehai nazo zinakufa na kuanza process ya autolysis, hivyo kupoteza uwezo wa kuzuia majimaji ndani ya chembehai na mufumo inayohifadhi damu na maji mwilini. Hivyo damu na maji vianaanza kutiririka na kutokea kwenye matundu mbalimbali ya mwili. Harufu mbaya ya damu ni kwa sababu ya uoozo unaosababishwa na bacteria wanapoanza kushambulia mwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la kumkuta marehemu akiwa na atokwa na damu puani baada ya kulala mortuari kwa masaa 16 na je inakuaje mwili wa binadamu kukaa kwa masaa yote hayo bila ya kukakamaa yaani mwili unakuwa uso umevimba lakini viungo vyote viko laini havijakakamaa kwa masaa hayo yote mpaka anazikwa?
Mmh huyu atakuwa hajafa kabisa kwakuwa kama amekufa kabisa damu huanza kuganda kwakuwa haizunguki tena na mwili hukakamaa.. Dalili za viungo kuwa flexible ni kwamba bado kuna uhai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la kumkuta marehemu akiwa na atokwa na damu puani baada ya kulala mortuari kwa masaa 16 na je inakuaje mwili wa binadamu kukaa kwa masaa yote hayo bila ya kukakamaa yaani mwili unakuwa uso umevimba lakini viungo vyote viko laini havijakakamaa kwa masaa hayo yote mpaka anazikwa?
Mm nikonhai Sina Cha kukujibu
 
Mtu aliye hai chembehai zake na mifumo iliyopo mwilini ina uwezo wa kuwezesha damu na maji yaliyo mwilini kuwa mahali palipolengwa. Mara anapofariki, chembehai nazo zinakufa na kuanza process ya autolysis, hivyo kupoteza uwezo wa kuzuia majimaji ndani ya chembehai na mufumo inayohifadhi damu na maji mwilini. Hivyo damu na maji vianaanza kutiririka na kutokea kwenye matundu mbalimbali ya mwili. Harufu mbaya ya damu ni kwa sababu ya uoozo unaosababishwa na bacteria wanapoanza kushambulia mwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrukrani sana
 
Suala la kumkuta marehemu akiwa na atokwa na damu puani baada ya kulala mortuari kwa masaa 16 na je inakuaje mwili wa binadamu kukaa kwa masaa yote hayo bila ya kukakamaa yaani mwili unakuwa uso umevimba lakini viungo vyote viko laini havijakakamaa kwa masaa hayo yote mpaka anazikwa?
Twende kwa Mganga by Jay Mo
 
Mkuu! Agenda za miili ya watu waliokufa zinatusaidia nini? Aaagh!
 
Sahihi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mgonjwa alifariki jioni saa moja usiku , tukamtoa kesho yake mortuary saa tano asubuhi , alikua anatokwa na damu puani na pia mwili ulikua laini viungo vinakunjika, hapo ina maana hakuwa amefariki , inamaana ki matibabu kuna uwezekano wa kwamba angekua resuistitate au ndio kusema mambo ya kimazingara kamaba tunaona kafa kumbe hajafa? Naoba ni fafanulie hapo .
 
Haya hutokea sana kwa vifo visivyo vya kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom