Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 623
- 1,531
Mwili wa binadamu au mamalia yoyote kina stage Kuna kuwa mlaini kukakamaa na kuwa mlaini tena.. Sio mtaalamu sana ila wajuvi watakuja elezeaSuala la kumkuta marehemu akiwa na atokwa na damu puani baada ya kulala mortuari kwa masaa 16 na je inakuaje mwili wa binadamu kukaa kwa masaa yote hayo bila ya kukakamaa yani mwili unakuwa uso ume vimba , lakini viungo vyote viko laini havija kakamaa kwa masaa hayo yote mpaka ana zikwa?
ok, asante ngoja tuone wataalam zaidi wata semajeMwili wa binadamu au mamalia yoyote kina stage Kuna kuwa mlaini kukakamaa na kuwa mlaini tena.. Sio mtaalamu sana ila wajuvi watakuja elezea
Mtu aliye hai chembehai zake na mifumo iliyopo mwilini ina uwezo wa kuwezesha damu na maji yaliyo mwilini kuwa mahali palipolengwa. Mara anapofariki, chembehai nazo zinakufa na kuanza process ya autolysis, hivyo kupoteza uwezo wa kuzuia majimaji ndani ya chembehai na mufumo inayohifadhi damu na maji mwilini. Hivyo damu na maji vianaanza kutiririka na kutokea kwenye matundu mbalimbali ya mwili. Harufu mbaya ya damu ni kwa sababu ya uoozo unaosababishwa na bacteria wanapoanza kushambulia mwili.
Mmh huyu atakuwa hajafa kabisa kwakuwa kama amekufa kabisa damu huanza kuganda kwakuwa haizunguki tena na mwili hukakamaa.. Dalili za viungo kuwa flexible ni kwamba bado kuna uhaiSuala la kumkuta marehemu akiwa na atokwa na damu puani baada ya kulala mortuari kwa masaa 16 na je inakuaje mwili wa binadamu kukaa kwa masaa yote hayo bila ya kukakamaa yaani mwili unakuwa uso umevimba lakini viungo vyote viko laini havijakakamaa kwa masaa hayo yote mpaka anazikwa?
Mm nikonhai Sina Cha kukujibuSuala la kumkuta marehemu akiwa na atokwa na damu puani baada ya kulala mortuari kwa masaa 16 na je inakuaje mwili wa binadamu kukaa kwa masaa yote hayo bila ya kukakamaa yaani mwili unakuwa uso umevimba lakini viungo vyote viko laini havijakakamaa kwa masaa hayo yote mpaka anazikwa?
Shukrukrani sanaMtu aliye hai chembehai zake na mifumo iliyopo mwilini ina uwezo wa kuwezesha damu na maji yaliyo mwilini kuwa mahali palipolengwa. Mara anapofariki, chembehai nazo zinakufa na kuanza process ya autolysis, hivyo kupoteza uwezo wa kuzuia majimaji ndani ya chembehai na mufumo inayohifadhi damu na maji mwilini. Hivyo damu na maji vianaanza kutiririka na kutokea kwenye matundu mbalimbali ya mwili. Harufu mbaya ya damu ni kwa sababu ya uoozo unaosababishwa na bacteria wanapoanza kushambulia mwili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Twende kwa Mganga by Jay MoSuala la kumkuta marehemu akiwa na atokwa na damu puani baada ya kulala mortuari kwa masaa 16 na je inakuaje mwili wa binadamu kukaa kwa masaa yote hayo bila ya kukakamaa yaani mwili unakuwa uso umevimba lakini viungo vyote viko laini havijakakamaa kwa masaa hayo yote mpaka anazikwa?
Ukiwa unasma kuna uhai ina maana gani? cells hazijafa ila kitaalam kafa ?Mmh huyu atakuwa hajafa kabisa kwakuwa kama amekufa kabisa damu huanza kuganda kwakuwa haizunguki tena na mwili hukakamaa.. Dalili za viungo kuwa flexible ni kwamba bado kuna uhai
Sent using Jamii Forums mobile app
Mada za maiti unazipenda sana wewe MCHAWI mkubwaMmh huyu atakuwa hajafa kabisa kwakuwa kama amekufa kabisa damu huanza kuganda kwakuwa haizunguki tena na mwili hukakamaa.. Dalili za viungo kuwa flexible ni kwamba bado kuna uhai
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu! Agenda za miili ya watu waliokufa zinatusaidia nini? Aaagh!Suala la kumkuta marehemu akiwa na atokwa na damu puani baada ya kulala mortuari kwa masaa 16 na je inakuaje mwili wa binadamu kukaa kwa masaa yote hayo bila ya kukakamaa yaani mwili unakuwa uso umevimba lakini viungo vyote viko laini havijakakamaa kwa masaa hayo yote mpaka anazikwa?
π€£π€£ππππππMada za maiti unazipenda sana wewe MCHAWI mkubwa
Nadhani mtu akiona heading ina sema kitu asicho taka kukisoma si ni vuzuri kuto ifungua na kukisoma au ninakosea?Mkuu! Agenda za miili ya watu waliokufa zinatusaidia nini? Aaagh!
Nafanya kazi mochwariMada za maiti unazipenda sana wewe MCHAWI mkubwa
Sahihi kabisaUkiwa unasma kuna uhai ina maana gani? cells hazijafa ila kitaalam kafa ?
Sahihi kabisaUkiwa unasma kuna uhai ina maana gani? cells hazijafa ila kitaalam kafa ?
No kuna stage ikifika mwili unalainika tena baada ya kukakamaa.Mmh huyu atakuwa hajafa kabisa kwakuwa kama amekufa kabisa damu huanza kuganda kwakuwa haizunguki tena na mwili hukakamaa.. Dalili za viungo kuwa flexible ni kwamba bado kuna uhai
Sent using Jamii Forums mobile app
Mgonjwa alifariki jioni saa moja usiku , tukamtoa kesho yake mortuary saa tano asubuhi , alikua anatokwa na damu puani na pia mwili ulikua laini viungo vinakunjika, hapo ina maana hakuwa amefariki , inamaana ki matibabu kuna uwezekano wa kwamba angekua resuistitate au ndio kusema mambo ya kimazingara kamaba tunaona kafa kumbe hajafa? Naoba ni fafanulie hapo .
Haya hutokea sana kwa vifo visivyo vya kawaidaMgonjwa alifariki jioni saa moja usiku , tukamtoa kesho yake mortuary saa tano asubuhi , alikua anatokwa na damu puani na pia mwili ulikua laini viungo vinakunjika, hapo ina maana hakuwa amefariki , inamaana ki matibabu kuna uwezekano wa kwamba angekua resuistitate au ndio kusema mambo ya kimazingara kamaba tunaona kafa kumbe hajafa? Naoba ni fafanulie hapo .