kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
Honestly ndio ukweli.
Salamu ni muhimu maana hatupo sehemu moja wakuu!
Kwa hali ilivyo sasa ivi
Hatuwezi tena kutoa maoni juu ya namna nchi yetu itakavyoendeshwa
Kwa sababu ukitoa maoni ambayo wenye mamlaka hawayapendii wallah nakuambia unakamatwaa very soon kama Mh Mboye alivyokamatwa leo asubuhii.
Sema Mboye ana akili sanaaa Polisi wamekesha nyumbani kwake kumbe mwamba hayupo hata.
Hata Accounts zangu zingine zimesimama kabisaaa. Sijui JamiiForums wanatuhakikishiaje usalama wetuu.
Lakini tukiwa Kunguni kama Lucas Mwashambwa
Mambo yetu ni bamubamuu
Leo Bibi yangu watu hawana habari naye hata yuko wapi pamoja na vyombo vyote kuattention huko alipo lkn wapi CDM kiboko ya Dola na CCM.
Wanahaha
Lucas Mwashambwa